Mickey Mouse : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|150px|Mickey Mouse thumb|250px|Sanamu ya Walt Disney pamoja na Mickey Mouse Mickey Mouse ni panya maarufu duniani. Amezaliwa...
 
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Walt and Mickey.jpg|thumb|250px|Sanamu ya Walt Disney pamoja na Mickey Mouse]]
 
'''Mickey Mouse''' ni panya maarufu duniani. Amezaliwa [[15 Mei]] [[1928]] kama mhusika katika katuni ya [[Walt Disney]] akaendelea kuwa mhusika wa katuni maarufu kabisa duniani.
 
Akishirikiana na rafiki zake Minnie Mouse na [[Goofy]], mbwa Pluto na mpwa zake Morty and Ferdie hupigania haki dhidi ya watu wabaya lakini pia dhidi ya matata madogo ya kila siku.
 
Habari za Mickey Mouse zimepatikana kwa njia ya filamu na vitabu vya katuni.