Tausi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho kadhaa
Mstari 13:
''[[Pavo]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small><br>
}}
Tausi ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] [[Pavo]] na [[Afropavo]] zakatika [[familia]] ya [[Phasianidae]]. Dume ana rangi ing’aayo ya majani au buluu na mkia wake ni mrefu mwenye rangi nyingi. Jike ana rangi inayofifia pengine kahawia tu. Jinsia zote zina ushungi. Dume hukoga mkia kwa ubembelezi. Hula [[tunda|matunda]], [[ua|maua]], [[mdudu|wadudu]] na [[mtambazi|watambazi]]. Hutaga mayai matatu hadi manane ardhini.
 
[[Tausi wa Kongo]] anatokea [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo ya Kidemokrasia]]. [[Spishi]] mbili nyingine zinatokea misitu ya [[Asia]], lakini zimewasilishwa katika sehemu nyingine za [[dunia]], hususa [[tausi mhindi]].
 
==Spishi za Afrika==
Mstari 32:
</gallery>
<gallery>
Image:Siamese Dragon.JPG|DumeGreen wa kijanipeacock
Image:Pavo muticus1.jpg|DumeGreen peacock akionyesha mapambo yake
Image:Pavo muticus2.jpg|jikeGreen peahen
</gallery>