Millard Fillmore : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Millard Fillmore.jpg|thumb|right|Millard Fillmore]]
'''Millard Fillmore''' ([[7 Januari]] [[1800]] – [[8 Machi]] [[1874]]) alikuwa Rais wa 13 wa [[Marekani]] kuanzia mwaka wa [[1850]] hadi [[1853]]. Alianza kama Kaimu Rais wa Rais [[Zachary Taylor]] mwaka wa [[1849]] na kumfuata wakati wa kifo chake.