Salamu Maria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Fra Angelico 069.jpg|thumb|200px|''Kupasha Habari'', kadiri ya [[Fra Angelico]].]]
'''Salamu Maria''' (kwa [[Kilatini]] ''Ave Maria'') kwa [[asili]] ni [[sala]] ya [[Wakatoliki]] wa [[Kanisa la Kilatini]] ambayo inamsifu [[Bikira Maria]] na kumuomba sala zake hadi [[Saa|saa]] ya [[kufa]].
 
Sala hiyo imeenea hata kwa [[Wakristo]] wengine, hasa [[Waanglikana]], lakini kwa namna tofauti inatumiwa pia katika [[Ukristo wa Mashariki]].
 
Hii ni kwa sababu sehemu kubwa ya sala hiyo inatokana na [[Injili]] ([[Lk]] 1:28,42) moja kwa moja:
* Χαῖρε, κεχαριτωμένη, ὁ Κύριος μετὰ σοῦ / ''Chaire, kecharitōmenē, o Kyrios meta sou'' / ''Salamu uliyejaa neema, Bwana yu nawe'' (maneno ya [[Malaika Gabrieli]])
* Εὐλογημένη σὺ ἐν γυναιξὶν καὶ εὐλογημένος ὁ καρπὸς τῆς κοιλίας σου / ''eulogēmenē su en gynaixin kai eulogēmenos o karpos tēs koilias sou'' / ''Umebarikiwa wewe kati ya wanawake na umebarikiwa mzao wa tumbo lako'' (maneno ya [[Elizabeti (Injili)|Elizabeti]])
 
Katikati ya [[karne ya 13]] sala ilikuwa inaundwa na maneno hayo tu pamoja na kuingiza [[jina]] la [[Maria]], inavyoonekana katika [[ufafanuzi]] wa [[Thoma wa Akwino]].<ref>[http://www.ewtn.com/library/MARY/STTOMHMY.htm "Saint Thomas Aquinas on the Hail Mary", ''Catholic Dossier'', May-June 1996, Ignatius Press, Snohomish, Washington ]</ref>
 
Mwishoni mwa [[karne ya 15]] yaliongozwayaliongezwa maneno ya kumuomba Maria sala zake.<ref>British Library - Rare Books Department, shelfmark: IA 27542</ref>
 
Hatimaye sala kwa Kilatini imekuwa hivi:
Mstari 25:
:Bwana yu nawe.
:Umebarikiwa kuliko wanawake wote,
:na JesuYesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa.
 
:Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu,