Malipo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Aina ya malipo hadi Malipo: urahisi wa kuipata
No edit summary
Mstari 1:
'''Malipo''' ni [[pesa]] au [[kitu]] anatoachoatoacho [[mtu]] kulipia kitu alichonunua au kwa [[kazi]] au [[huduma]] aliyofanyiwa. Malipo pia yanaweza kuwa ya [[shukrani]] kwa mazuri aliyofanyiwa mtu
 
== Msamiati wa malipo mbalimbali ==
# '''[[Arbuni]]/Rubuni/Advansi/Chambele/Kishanzu''' - malipo ya kwanza ya kuzuia kitu kisiuzwe.
 
# '''Arbui/Rubuni/Advansi/Chambele/Kishanzu[[Risimu]]''' - malipobei ya kwanza ya kuzuiakukinunua kitu kisiuzwemnadani.
# '''Risimu''' - bei ya kwanza ya kukinunua kitu mnadani.
# '''[[Fidia]]''' - malipo yalipwayo na shirika la bima kwa ajili ya hasara au maumivu yaliyompata mtu.
# '''[[Zawadi]]/Tuzo/Takrima/Hidaya''' - atunukiwacho mtu kama ni ishara ya mapenzi, wema, ushindi au kwa utendaji mzuri wa shughuli.
# '''[[Karo]]''' - malipo ya masomo shuleni.
# '''[[Ushuru]]''' - ni malipo yanayotozwa bidhaa forodhani.
# '''[[Mshahara]]''' - malipo ya mfanyakazi mwishoni mwa kila mwezi.
# '''[[Mahari]]''' - malipo ya kuoa ua kuolewa.
# '''[[Dhamana]]''' - malipo kwa niaba ya mtu ili ahudumiwe au aachiliwe huru kwa muda maalumu kesi au daawa inpoendelea mahakamani.
# '''[[Kivusho]]''' - malipo ya kuvuka daraja, mto au kivuko chochote.
# '''[[Nauli]]''' - mmalipomalipo ya kusafiria.
# '''[[Faini]]''' - malipo anayotozwa mhalifu mahakamani.
# '''[[Kibarua]]''' - malipo ya kufanya kazi kutwa au malipo ya usiku.
# '''[[Mtaji]]''' - ni pesa za kuanzishia biashara.
# '''[[Riba]]''' - faida inayotozwwa na mkopeshaji au ziada ya benkini.
# '''[[Arshi]] / Dia''' - ni malipo kwa ajili ya kumtoa mtu damu.
# '''[[Rushwa]]/Kadhongo/Chirimiri/Chauchau/Kilemba/Mvugulio''' - ni malipo au zawadi anayotoa mtu ili kupata haki asiyostahili.
# '''[[Kilemba]]''' - pia ni malipo anayotoa mwanagenzi kwa mhunzi wake baada ya kuhitimu mafunzo yake.
# '''[[Kiingilio]]''' - malipo ya kuingia mahali kwa mfano mchezoni au densi.
# '''[[Kombozi]]''' - ni malipo ya kukombolea kitu au mtu.
# '''[[Koto]]/Ufito''' - ada anayotoa mzazi kumpakwa mwalimu anapomwingiza mtoto wake chuoni.
# '''[[Ridhaa]]''' - malipo apewayo mtu aliyevunjiwa hadhi au heshima yake.
# '''[[Fichuo]]''' - malipo anayopewa kijana anapotoka jandoni.
# '''Kiinua Mgongo[[Kiinuamgongo]]/Pensheni/Bonasi''' - malipo baada ya kustaafu.
# '''[[Kodi]]''' - mapato au malipo kwa serikali kutokana na mishahara ya wafanyakazi au mapato mengine.
# '''[[Karadha]]''' - mkopo bila riba au malipo ambayo ni sehemu ya mshahara apewayo mtu katikati ya mwezi.
# '''[[Bahashishi]]''' - malipo ya kuonesha shukrani.
# '''[[Masurufu]]''' - pesa za matumizi ya safarini, matumizi ya nyumbani, njiani au mfukoni (pocket money.).
# '''[[Thawabu]]''' - malipo anayopata mtu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ajili ya kutii amri zake.
# '''[[Rada]]''' - malipo yanayotoka kwa Mwenyezi Mungu kurudi mtu aliyefanya jambo ovu.
# '''[[Advansi]] /Karadha''' - ni malipo yanayotolewa kabla kabla ya wakati wake kuwadia au kazi kumalizika.
# '''[[Urithi]]/Urathi''' - malipo anayopewa mtu kutokana na mali ya marehemu.
# '''[[Ujira]]''' - malipo ya kazi yoyote ya mkono.
# '''[[Mchango]]''' - malipo ya hiari kwa ajili ya kujenga au kutoa hisani au msaada kwa yule anayehitaji.
# '''[[Mapoza]]''' - malipo unayomlipa uliyemwudhi ili kuondoa hasira zake.
# '''[[Faida]]/Natija/Tija''' - pesa za ziada azipatazo mfanyabiashara.
# '''[[Marupurupu]]/Posho''' - malipo anayopata mtu zaidi ya malipo yake ya kawaida.
# '''[[Karisaji]]''' - malipo ya pesa ya muda uliopita.
# '''[[Utotole]]/Kiangaza MachoKiangazamacho/Machorombozi/Chorombozi Kiokozi''' - zawadi ya ugunduzi wa kitu au kushuhudia jambo linapofanyika mahali wakati fuluani.
# '''[[Mrabaha]]''' - a). faida au pato linalotokana na biashara. b). malipo anayopewa mwandishi au msanii na kampuni iliyotoa kazi yake kila baada ya kipindi fuluni cha mauzo.
# '''[[Fola]]''' - malipo ya kumshika mtoto mchanga kwa mara ya kwanza.
# '''[[Kipkasa]]/Kipa MkonoKipamkono/Jazua/Ukonavi''' - malipo anayopewa bi harusibiharusi aonwapo mara ya kwanza.
# '''Kilemba''' - pia ni ada ya harusi wanayopewa wajomba wa bibi harusi.
# '''Kikunja Jamvi[[Kikunjajamvi]]''' - ada idaiwayo kwa wafanyabiashara au wakazi wa mabaraza ya kiasili na ya kizamani ambayo hujumuisha fedha au mali, kwa mfano;: kondoo, mbuzi, kuku n.k.
# '''[[Bakora]]''' - zawadi ambayo baba humpa fundi akitaka mwanawe afundishwe ufundi.
# '''[[Haka]]''' - malipo ya kufidia kosa fulani katika mambo ya familia.
# '''[[Mukafaa]]''' - malipo ya mshahara kwa mfanyakazi kutokana na faida iliyopatikana.
# '''[[Honoraria]]''' - malipo apewayo mtu kama bahashishi kwa kazi maalumu aliyoifanya.
# '''[[Kudu]]''' - malipo alipayo mwari kwa nyakanga kama adhabu kwa kukosa adabu alipokuwa unyagoni.
# '''[[Mwago]]''' - malipo kwa mke wa kwanza mume anapooa mke wa pili.
# '''[[Mbiru]]''' - malipo kwa serikali kutokana na mishahara ya wafanyakazi wake.
# '''[[Zaka]]''' - moja yakumiya kumi ya mapato amabayoambayo waumini wa dini humtolea Mwenyezi Mungu kwa ajili ya shughuli za kanisani.huwakama shukrani kwa Mwenyezi Mungu.
# '''[[Fungule]]/Kanda''' - malipo ya kwanza kwa mganga.
# '''Tapish[[Tapisho]]'''o - malipo kwa ngariba kwa ajili ya utahirishaji.
# '''Ango[[Pango (kodi)|Pango]]''' - kodi ya nyumba alipwayo mwenye nyumba baada ya kipindi fulani kulingana na makubaliano.
# '''[[Rehani]]''' -malipo ya kitu kilichowekwa dhamana ili kukombolewa baadaye.
 
{{mbegu-uchumi}}
{{stub}}
 
[[Jamii:Maneno ya Kiswahili]]
[[Jamii:KiswahiliUchumi]]
[[Jamii:Aina ya MalipoOrodha]]
[[Jamii:Orodha|Malipo mbalimbali]]