Malipo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
# '''[[Riba]]''' - faida inayotozwwa na mkopeshaji au ziada ya benkini.
# '''[[Arshi]] / Dia''' - malipo kwa ajili ya kumtoa mtu damu.
# '''[[Rushwa]]/Kadhongo/Chirimiri/Chauchau/Kilemba/Mvugulio''' - ni malipo au zawadi anayotoa mtu ili kupata haki asiyostahili.
# '''[[Kilemba]]''' - piaada niya harusi wanayopewa wajomba wa bibiharusi; pia malipo anayotoa mwanagenzi kwa mhunzi wake baada ya kuhitimu mafunzo yake.
# '''[[Kiingilio]]''' - malipo ya kuingia mahali kwa mfano mchezoni au densi.
# '''[[Kombozi]]''' - malipo ya kukombolea kitu au mtu.
Mstari 41:
# '''[[Karisaji]]''' - malipo ya pesa ya muda uliopita.
# '''[[Utotole]]/Kiangazamacho/Machorombozi/Chorombozi Kiokozi''' - zawadi ya ugunduzi wa kitu au kushuhudia jambo linapofanyika mahali wakati fuluani.
# '''[[Mrabaha]]''' - a) faida au pato linalotokana na biashara.; b)pia malipo anayopewa mwandishi au msanii na kampuni iliyotoa kazi yake kila baada ya kipindi fulunifulani cha mauzo.
# '''[[Fola]]''' - malipo ya kumshika mtoto mchanga kwa mara ya kwanza.
# '''[[Kipkasa]]/Kipamkono/Jazua/Ukonavi''' - malipo anayopewa biharusi aonwapo mara ya kwanza.
# '''Kilemba''' - pia ni ada ya harusi wanayopewa wajomba wa bibi harusi.
# '''[[Kikunjajamvi]]''' - ada idaiwayo kwa wafanyabiashara au wakazi wa mabaraza ya kiasili na ya kizamani ambayo hujumuisha fedha au mali, kwa mfano: kondoo, mbuzi, kuku n.k.
# '''[[Bakora]]''' - zawadi ambayo baba humpa fundi akitaka mwanawe afundishwe ufundi.
Line 57 ⟶ 56:
# '''[[Tapisho]]''' - malipo kwa ngariba kwa ajili ya utahirishaji.
# '''[[Pango (kodi)|Pango]]''' - kodi ya nyumba alipwayo mwenye nyumba baada ya kipindi fulani kulingana na makubaliano.
# '''[[Rehani]]''' - malipo ya kitu kilichowekwa dhamana ili kukombolewa baadaye.
 
{{mbegu-uchumi}}