Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Kilo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 40:
Dume anatofautishwa kirahisi kutokana na [[unyoya|manyoya]] marefu ya [[Shingo|shingoni]] ilhali jike hana.
 
Jike anaanza kuzaa akifikia [[umri]] wa miaka 2-3. Baada ya kuwa mzito kwa miezi 3 1/2 anazaa wadogo 2-3. Wakati mwingine [[idadi]] hii inaweza kuwa hadi wadogo 6 lakini wanaozidi 3 kwa kawaida wanakufa mapema.
 
== Utangulizi ==