Tofauti kati ya marekesbisho "Kamari"

386 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
| isbn = 0-87973-877-4}}</ref><ref>[http://www.palgrave.com/page/detail/blaise-pascal-donald-adamson/?K=9780333550366| ''Blaise Pascal: Mathematician, Physicist and Thinker about God'', [[Donald Adamson]] (1995)]</ref><ref>[http://www.iagr.org/members/ International Association of Gaming Regulators: Members]</ref>
 
[[Tatizo]] mojawapo kubwa ni kwamba wanaoshiriki michezo hiyo wanahitaji au kutamani sana [[utajiri]], hivyo wakishindwa wanaweza kushawishika kucheza tena na tena hadi kufilisika. Baadhi ya wachezaji wa michezo hii hufikia hata kupata matatizo ya ugonjwa wa akili. Kuna tiba aina mbalimbali za kuwasaidia watu wanaoshindwa kuwa na uamuzi wa kuacha michezo hii.
 
Michezo ya kamari imekuwa [[biashara]] kubwa kimataifa, ikiwa na [[bajeti]] ya [[Dolar za Marekani|dola]] [[bilioni]] 335 [[mwaka]] [[2009]].<ref>{{cite news| url=http://www.economist.com/node/16539402 | work=The Economist | title=You bet | date=8 July 2010}}</ref>
 
Michezo ya kamari imekuwa [[biashara]] kubwa kimataifa, ikiwa na [[bajeti]] ya [[DolarDola za Marekani|dola]] [[bilioni]] 335 [[mwaka]] [[2009]].<ref>{{cite news| url=http://www.economist.com/node/16539402 | work=The Economist | title=You bet | date=8 July 2010}}</ref> Umaarufu wa michezo kama vile soka na teknolojia mpya imefanya michezo hii kupata umaarufu wa kasi kubwa duniani.<ref>[https://newonlinecasinoscanada.com/casino-software/playtech/ Programu ya Playtech]</ref>
==Tanbihi==
{{Reflist|33em}}
Anonymous user