Kyebitembe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 10:
[[Jamii:Mkoa wa Kagera]]
[[Jamii:Wilaya ya Muleba]]
Kata hii imepakana na ziwa Burigi. Pia Hifadhi ya Mbuga ya Wanyama Burigi mnapatikana ndani ya Kata hii.
 
Ni mwwendo wa masaa 3.5 kwa usafiri wa Hiace kutoka Kata Kyebitembe mpaka Stand ya Mkoa iliyo ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
 
Pia ndani ya Kata hii kuna Shule 8 za Msingi ambazo ni Nyamilanda, Kanyeranyere, Kabungo, Kyebitembe, Kyabishagao, Nyanjubi, Kagasha na Kasindaga.
 
Kuna Shule ya Sekondari moja ndani ya Kata Kyebitembe ambayo ni Kanyeranyere Shule ya Sekondari.