'''Kyebitembe''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya ya Muleba]] katika [[Mkoa wa Kagera]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''35529''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf</ref>.
Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 25,460 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Muleba-District-Council]</ref>
Kata hii imepakana na [[ziwa Burigi]]. Pia Hifadhihifadhi ya [[Mbuga ya Wanyama ya Burigi]] mnapatikanainapatikana ndani ya Katakata hii. ▼
Ni mwwendomwendo wa masaasaa 3.5 kwa [[usafiri]] wa [[Hiace]] kutoka Katakata ya Kyebitembe mpaka Stand[[stendi]] ya Mkoa[[mkoa]] iliyo ndani ya [[Manispaa]] ya Mji[[mji]] wa [[Bukoba]].▼
Pia ndani ya Katakata hii kuna [[sekondari]] [[moja]] ambayo ni Shule ya Sekondari Kanyeranyere na [[shule]] 8 za Msingi[[shule ya msingi|msingi]] ambazo ni Nyamilanda, Kanyeranyere, Kabungo, Kyebitembe, Kyabishagao, Nyanjubi, Kagasha na Kasindaga. ▼
==Marejeo==
Line 5 ⟶ 13:
{{Kata za Wilaya ya Muleba}}
{{mbegu-jio-kagera}}
[[Jamii:Mkoa wa Kagera]]
[[Jamii:Wilaya ya Muleba]]
▲Kata hii imepakana na ziwa Burigi. Pia Hifadhi ya Mbuga ya Wanyama Burigi mnapatikana ndani ya Kata hii.
▲Ni mwwendo wa masaa 3.5 kwa usafiri wa Hiace kutoka Kata Kyebitembe mpaka Stand ya Mkoa iliyo ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
▲Pia ndani ya Kata hii kuna Shule 8 za Msingi ambazo ni Nyamilanda, Kanyeranyere, Kabungo, Kyebitembe, Kyabishagao, Nyanjubi, Kagasha na Kasindaga.
Kuna Shule ya Sekondari moja ndani ya Kata Kyebitembe ambayo ni Kanyeranyere Shule ya Sekondari.