Euro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Euro symbol.svg|thumb|200px|Ishara ya Euro]]
[[Picha:Euro_sign.svg|thumb|100px]]
'''Euro''' ni [[sarafu (mfumo)|sarafu]] ya pamoja katika baadhi ya nchi za [[Ulaya]]. Wakazi wake 337,000,000 wanatumia kwa kawaida [[pesa]] hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa [[bara]]ni [[Afrika]].