Bundesliga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Freistoss-RB Salzburg-18-09-2005.jpg|thumb|right|300px|Picha inayoonyesha sehemu ya timu za mpira za mashindano ya Bundesliga.]]
'''Bundesliga''' ni jina la [[michezo]] ya hali ya juu katika nyanja za michezo mbalimbali katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Bundesliga ina maana ya kutaja ligi kuu ya nchi nzima. Mpira wa miguu ni mchezo mashuhuri sana katika nchi hizo mbili. Na ndiyo maana mchezo wa mpira wa miguu unajulikana sana katika nchi hizo kwa jina la Bundesliga.▼
[[Picha:Deutsche Meisterschale.JPG|thumb|riht|300px|Tuzo ya Kijerumani kwa ajili ya mshindi wa mashindano ya [[mpira wa miguu]].]]
▲'''Bundesliga''' ni [[jina]] la [[michezo]] ya hali ya juu katika nyanja za michezo mbalimbali katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Bundesliga ina maana ya kutaja [[ligi kuu]] ya nchi nzima. [[Mpira wa miguu]] ni mchezo mashuhuri sana katika nchi hizo [[mbili]]. Na ndiyo maana mchezo wa mpira wa miguu unajulikana sana katika nchi hizo kwa jina la Bundesliga.
[[Timu]] za mpira zinaingia katika Bundesliga
Timu itakayoongoza itategemea na ushindi au pointi walizozipata wakati wa msimu huo. Msimu huo umegawanyika katika sehemu mbili. Katika kila sehemu
[[Idadi]] ya timu
== Viungo vya nje ==
|