Walanyama : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Walanyama''' (pia: '''Wagwizi'''; kwa [[Kilatini]]: '''Carnivora''') ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za [[wanyama]] wa [[ngeli]] ya [[mamalia|mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao)]]<ref>Flynn, J. J.; Finarelli, J. A.; Zehr, S.; Hsu, J.; Nedbal, M. A. (April 2005). "Molecular phylogeny of the Carnivora (Mammalia): Assessing the impact of increased sampling on resolving enigmatic relationships". Systematic Biology 54 (2): 317–37. doi:10.1080/10635150590923326 . PMID 16012099</ref>.
 
Ukubwa wao unaanzia kwa [[Weasel mdogovicheche]] wadogo kama (Mustela nivalis), kamamwenye [[gramu]] 25 (oz 0.88) na [[sentimeta]] 11 (in 4.3), hadi [[Beardubu polarbarafu]] (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima [[kilogramu]] 1,000 (lb 2,200), na [[Tembo-bahari]] wa kusini (Mirounga leonina), ambao [[wanaume]] wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na [[urefu]] wa [[mita]] 6.9 ([[futi]] 23).
 
== Picha ==