Mauzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
== Ufafanuzi ==
[[Mtu]] au [[shirika]] linaloonyesha nia ya kupata bidhaa ya [[thamani]] inayotolewa linajulikana kama mnunuzi au [[mteja]] mtarajiwa. Kununua na kuuza ni lile tendo la kubadilishana umiliki. Kununua ni kupokea umiliki wa kinacho uzwakinachouzwa ilhali kuuza ni kupitisha umiliki kwakekwa mnunuzi baada ya malipo. Muuzaji na mnunuzi huafikiana ili kukamilisha ubadilishaji wa thamani.<ref name="seller">{{cite journal|title=Buyer Success and Failure in Bargaining and Its Consequences|first=C.|last=Putthiwanit|first2=S.-H.|last2=Ho|journal=Australian Journal of Business and Management Research|volume=1|issue=5|year=2011|pages=83–92}}</ref>
 
Katika mauuzo kunaweza kuwa na kujadiliana bei au bei inaweza kuwa isio batirikaisiobatirika. Sana sana bei ya bidhaa au huduma huukuliwa na haja ya wanunuzi na wingi wake sokoni[[soko]]ni. Kwa biashara zinazolenga wanunuzi fulani hasa matajiri muuzaji anaweza kuiweka bei ya bidhaa bila kuzingatia bei ya ile bidhaa au huduma sokoni. <ref name="drugs">{{cite web|url=https://proceed2succeed.net/high-ticket-pricing-and-markets/|title=High Ticket Pricing and Markets|archiveurl=|author=Halder Salim|date=27 June 2018|editor=|language=en-US|publisher=|accessdate=24 July 2018|Web=Proceed2Succeed}}</ref>
 
== Mbinu ==
Mstari 15:
* Rejareja
* Ombi la pendekezo
* [[Biashara kwa biashara]]<ref>{{Cite journal|url=http://cep.lse.ac.uk/seminarpapers/10-02-03-BRY.pdf|title=What To Do When Stakeholders Matter: A Guide to Stakeholder Identification and Analysis Techniques|last=John|first=Bryson|date=10 Feb 2003|journal=London School of Economics and Political Science|doi=|pmid=|access-date=}}</ref>
* Ya [[Elektroniki|kielektroniki]]
 
=== Mawakala wa mauzo ===
Mawakala katika mchakato wa mauzo anaweza kuwakilisha upande wowote katika mchakato wa mauzo; kwa mfano:
# Wakala wa mauzo (kama vile kupitia [[mauzo shirikishi]])<ref>[https://www.advertisepurple.com/in-house-affiliate-vs-agency/ Wauza shirikishi wa ndani au wakala]</ref>
# Wakala wa mauzo
# Wakala mnunuzi
# Wakala anayewakilisha pande zote mbili