Mauzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
[[Mtu]] au [[shirika]] linaloonyesha nia ya kupata bidhaa ya [[thamani]] inayotolewa linajulikana kama mnunuzi au [[mteja]] mtarajiwa. Kununua na kuuza ni lile tendo la kubadilishana umiliki. Kununua ni kupokea umiliki wa kinachouzwa ilhali kuuza ni kupitisha umiliki kwa mnunuzi baada ya malipo. Muuzaji na mnunuzi huafikiana ili kukamilisha ubadilishaji wa thamani.<ref name="seller">{{cite journal|title=Buyer Success and Failure in Bargaining and Its Consequences|first=C.|last=Putthiwanit|first2=S.-H.|last2=Ho|journal=Australian Journal of Business and Management Research|volume=1|issue=5|year=2011|pages=83–92}}</ref>
 
Katika mauuzomauzo kunaweza kuwa na kujadiliana bei au bei inaweza kuwa isiobatirikaisiyobadilika. Sana sanaSanasana bei ya bidhaa au huduma huukuliwahukuliwa na haja ya wanunuzi na wingi wake [[soko]]ni. Kwa biashara zinazolenga wanunuzi fulani, hasa matajiri, muuzaji anaweza kuiweka bei ya bidhaa bila kuzingatia bei ya ile bidhaa au huduma sokoni. <ref name="drugs">{{cite web|url=https://proceed2succeed.net/high-ticket-pricing-and-markets/|title=High Ticket Pricing and Markets|archiveurl=|author=Halder Salim|date=27 June 2018|editor=|language=en-US|publisher=|accessdate=24 July 2018|Web=Proceed2Succeed}}</ref>
 
== Mbinu ==
Mauzo yanaweza kuwa au kupitia:<ref>{{Cite book|title=Compendium of Professional Selling|publisher=United Professional Sales Association|date=n.d.|url=http://www.upsa-intl.org/index-4-cops.htm|isbn=<!--? -->}}</ref>
* Mauzo yaYa moja kwa moja
* Mauzo yasiyoYasiyo ya moja kwa moja
* Ya kupitia mawakala
* Mawakala
* Ya rejareja
* Rejareja
* Ombi la pendekezo
* [[Biashara kwa biashara]]<ref>{{Cite journal|url=http://cep.lse.ac.uk/seminarpapers/10-02-03-BRY.pdf|title=What To Do When Stakeholders Matter: A Guide to Stakeholder Identification and Analysis Techniques|last=John|first=Bryson|date=10 Feb 2003|journal=London School of Economics and Political Science|doi=|pmid=|access-date=}}</ref>
Mstari 19:
 
=== Mawakala wa mauzo ===
Mawakala katika mchakato wa mauzo anawezawanaweza kuwakilisha upande wowote katika mchakato wa mauzo; kwa mfano:
# Wakala wa mauzo (kama vile kupitia [[mauzo shirikishi]])<ref>[https://www.advertisepurple.com/in-house-affiliate-vs-agency/ Wauza shirikishi wa ndani au wakala]</ref>
# Wakala mnunuzi