Biashara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 16:
* [[Watengenezaji bidhaa viwandani]] huzalisha [[bidhaa]] kutoka [[malighafi]] au sehemu ya bidhaa, kisha huuza kwa faida. Makampuni ambayo huunda [[bidhaa]], kama vile magari au mabomba, huchukuliwa kama watengenezaji wa bidhaa.
* Biashara [[isiyohamishika]] huzalisha faida kutokana na kuuza, kukodisha, na maendeleo ya mali, nyumba, na majengo.
* [[Wauzaji wa bidhaa za rejereja na wasafirishaji wa bidhaa zenyewe]] huingilia kati shughuli ya kuzitoa bidhaa kutoka kwa watengenezaji hadi kwa wateja, na kuzalisha faida kutokana na mauzo au usambazaji na kutoa huduma. Wengi wa wanabiasharawafanyabiashara wanaoshughulikia wateja moja kwa moja ni wasafirishaji wa bidhaa au wauzaji wa rejareja (kwa Kiingereza: [[FranchisingRetailing]]). Wako wafanyabiashara wa rejareja wanaolenga soko maalum kama vile wale wanaouza biashara za [[anasa]] kwa [[mamilionea]]<ref>[https://www.hushhush.com/amazon-for-millionaires/ Bidhaa za anasa]</ref>.
* [[Biashara za kutoa Huduma]] ni biashara ambazo hupata faida yake kutokana na kutoa huduma fulani kwa wateja wake. Mashirika kama vile makampuni ya ushauri, mikahawa na hata watumbuizaji ni aina ya biashara za huduma. Pia kuna mshipuko mpya wa biashara za kutafutia wat kazi na vibarua ambazo pia ni biashara za kutoa huduma.<ref>{{Cite web|url=https://getvested.io/temp-agency/temp-to-hire/|title=Temp to Hire|author=Vested Technology|date=8 March 2018|language=en-US|work=Vested Technology Website|accessdate=19 July 2018}}</ref>
* [[Biashara ya Usafiri]] ni biashara ambayo hupata faida yake kupitia kuwasafirisha watu na bidhaa kutoka mahali pamoja hadi mahala pengine.