Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
Kuna [[Kamusi Elezo za Wiki]] za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo: ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.
 
Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizikuhusu makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni [http://meta.wikimedia.org/wiki/List_of_articles_all_languages_should_have orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia] inayoendelea kuhaririwa.
 
Hapo chini ni mada katika wikipediaWikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipediaWikipedia kubwa zaidi na hivyo ni ya msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipediaWikipedia za lugha mbalimbali.
Chanzo chake ni [http://meta.wikimedia.org/wiki/List_of_Wikipedias_by_sample_of_articles/Absent_Articles#sw_Kiswahili Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili].
 
'''Kila mwanawikipedia anaombwa
**kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundujekundu upande wa kulia itaanzishakutaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiribado, kwanzaulitafsiri kabla ya kuanza.
**Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana menginenyingine bado ni fupi sana
'''
 
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipediaWikipedia mbalimbali zinaweza kukosakukosea. kwaKwa mfano hawakutambuahazikutambua makala ya "[[Brussels]]" katika wikipedoaWikipedia yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala ikoipo. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipediaWikipedia ya Kiswahili.
 
Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: '''[[Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000]]'''.
 
Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanishwailiyopanuliwa ya makala 10,000 '''[[Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded]]'''
 
=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 yaza kimsingimsingi=
''<small>(hali ya Februari 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipediaWikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)</small>''<br>
 
'''OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!'''