Shairi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
/* (i) Mashairi ya kimapokeo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 25:
Vilevile huitwa ''mashairi funge'' - ni mashairi yanayozingatia kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila [[ubeti]] na kituo katika shairi.
 
===(ii) Mashairi ya kimamboleokisasa===
Haya ni mashairi yasiyozingatia kanuni za kimapokeo, yaani, hayazingatii kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila ubeti na kituo katika shairi.
Mashairi haya pia huitwa ''mashairi huru''/''mashairi ghuni''/''mashairi ya kisasa''/''masivina''/''mapingiti''.