Tofauti kati ya marekesbisho "Namba halisi"

18 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (mbegu --> hisabati)
 
[[File:Latex real numbers.svg|right|thumb|120px|[[Alama]] ya kundi la '''namba halisi''' ni (ℝ).]]
[[File:Real number line.svg|thumb|center|350px|Namba halisi zinaweza Real numbers kuwa kama pointi katika [[mstari wa tarakimu]].]]
'''Namba halisi''' (kwa [[Kiingereza]]: "Real numbers") katika [[hisabati]] ni [[thamani]] inayowakilisha [[kiasi]] katika [[mstari wa kuendelea]]. [[Kivumishi]] ''halisi'' kwa [[mantiki]] hii kilianzishwa kwenye [[karne ya 17]] na [[Mfaransa]] [[Descartes]], ambaye alitofautisha namba halisi na [[Namba|namba changamano]].
 
Namba halisi zinajumuisha [[Namba|namba wiano]], kama vile [[Namba|namba kamilinambakamili]] −5 na [[sehemu (hisabati)|sehemu]] 4/3, na [[Namba|namba zisizowiani]], [[kipeo]] cha pili cha 2, na [[algebraaljebra]]). Ikijumuisha na zisizowiani ni [[namba zisizo na mwisho]], kama [[pai]] (3.14159265…).
 
Namba halisi zinaweza kuwa kama pointi katika [[mstari mnyoofu]] unaoitwa [[mstari wa tarakimu]] au [[mstari halisi]], ambapo pointi za namba halisi ambazo zimeachiana nafasi sawa.