Namba isiyowiana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Square root of 2 triangle.png|thumb|Kipeuo mraba cha 2 ni namba isiyowiana.]]
'''Namba isiyowiana''' (kwa [[Kiingereza]]: ''[[:en:irrational number]]''<ref>Jina la [[Kilatini]]-Kiingereza ''"irrational"'' haimaanishi "bila akili" (''"ratio"'' kama akili, hekima, ''[[:en:reason]]'') lakini "bila wianisho" (''"ratio"'' kama uwiano, ''[[:en:relation (mathematics)|relation]]'') </ref>) ni [[namba halisi]] ambayo haiwezi kuonyeshwa kama wianisho safi baina ya [[namba kamilinambakamili]].
 
Mifano mashuhuri ni [[kipeuo mraba]] cha 2 <math>\sqrt 2</math> na [[namba ya duara]] <big>π</big> (Pi). Kwa mfano [[pi (namba)|Pi]] ikiandikwa kwa namna ya [[desimali]] inaanza hivi 3.14159265358979 .... lakini kamwe haiwezi kamwe kuonyeshwa kikamilifu kwa kuongeza [[tarakimu]] baada ya [[nukta]].
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Njenje==
{{Commonscat|Irrational numbers|Namba isiyowiana}}
*[https://www.mathsisfun.com/irrational-numbers.html Irrational Numbers], kwenye tovuti ya mathisfun.com
*[https://www.factmonster.com/math/numbers/rational-and-irrational-numbers Rational and Irrational Numbers], tovuti ya factmonster.com
 
{{mbegu-hisabati}}
 
[[Jamii:Namba]]