Miaka baada ya hijra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Miaka baada ya Hijra''' ni [[hesabu]] ya miaka katika [[kalenda ya Kiislamu]].
 
Hesabu hii ni ilianzishwa miaka 17 baada ya tukio lenyewe (638 [[BK]]) kufuatana na azimio la [[Khalifa]] [[Umar ibn al-Khattab]].
 
[[Waarabu]] waliwahi kuwa na [[kalenda]] iliyotumia mwendo wa [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]]. Lakinilakini hawakuhesabu miaka. Kila [[mwaka]] ulitajwa kutokana na tukio fulani. Mwaka wa kuzaliwa kwake [[Mtume Muhammad]] hujulikana "Mwaka wa Tembo" kwa sababu mwaka ule [[Makka]] ilishambuliwa na [[jeshi]] la [[Ethiopia|Waethiopia]] lililokuwa na tembo wa kijeshi. Hata baada ya Muhammad desturi hii iliendelea. Mwaka wa [[Hijratembo]] wenyewe uliitwa "Mwaka wa kukubaliwakijeshi. kwa safari," mwaka uliofuata "Mwaka vita ilipoamriwa," n.k.
 
Hata baada ya Muhammad [[desturi]] hii iliendelea. Mwaka wa [[Hijra]] wenyewe uliitwa "Mwaka wa kukubaliwa kwa safari," mwaka uliofuata "Mwaka vita ilipoamriwa," n.k.
Wakati wa Khalifa Umar ilionekana haja ya kuwa na hesabu inayoeleweka zaidi hivyo hesabu ya Hijra ikachaguliwa.
 
Wakati wa Khalifa Umar ilionekana haja ya kuwa na hesabu inayoeleweka zaidi, hivyo hesabu ya Hijra ikachaguliwa.
 
==Hesabu ya Kiarabu na Hesabu ya Kiajemi==
Waarabu [[Waislamu]] waliendelea kuhesabu [[Kalenda ya mwezi|miaka ya mwezi]] ya siku 29 au 30 kufuatana na kuonekana halisi kwa mwezi.
 
Hivyo miaka ya Kiislamu ina jumla ya siku takriban 354. Mwaka huo wa Kiislamu una siku 11 kasoropungufu kuliko siku zile 365 za [[mwaka wa jua]] katika [[kalenda ya kikristoKikristo]]. Katika mwakaMwaka [[2006]] [[BK]] ni 1427 BH (baada ya Hijra).
 
[[Uajemi]] hutumia hesabu ya miaka ya Hijra pamoja na [[mwaka wa jua]]. Hivyo mwanzo wa 2006 BK huko Uajemi ni mwaka 1384 BH (baada ya Hijra).
 
 
==Tazama pia==
*[[Kalenda ya Kiislamu]]
{{mbegu-dini}}
 
 
[[Category:Kalenda]]