Abjadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Abjad.PNG|thumb|300px|"al-ABJaDiya al-arabiya" ni namna ya Kiarabu ya kusema "ABC ya Kiarabu" <br />(A-B-J-D ni herufi nne za kwanza za alfabeti ya Kiarabu)]]
'''Abjad''' ni [[jina]] kwala [[mwandiko]] wa [[lugha]] ya [[Kiarabu]] na pia jina kwala kundi la miandiko inayotumia muundo wa kuandika [[konsonanti]] yaza [[neno]] lakini kuacha [[vokali]].
 
== Jina la mwandiko wa Kiarabu ==
Neno "abjad" linajumuisha [[herufi]] 4 za kwanza <big>ابجد</big> a-b-j-d yaza mwandiko wa Kiarabu sawa kama "a-b-c" inamaanisha herufi 3 za kwanza za [[alfabeti]] ya [[Kilatini]].
 
Abjadi ilikuwa pia jina la muundo wa [[namba za Kiarabu]] kabla ya kupokelewakupokewa kwa [[namba za Kihindi]] wakati wa [[karne ya 9]] [[BK]]/ 3 BH; hadi wakati ule [[Waarabu]] walitumia [[alama]] za mwandiko kwa ajili ya mahesabu.
== Jina la kundi la miandiko ya lugha za Kisemiti ==
Mbali na kutaja mwandiko wa Kiarabu neno hili latumiwa pia kwa kutaja [[tabia]] za miandiko ya [[Lugha za Kisemiti|lugha mbalimbali za kisemitiKisemiti]]. Zote zina alama kwa ajili ya [[konsonanti]] lakini kwa kawaida [[vokali]] haziandikwi.
 
Hapa msomaji anatakiwa kutambua neno na kujua ni vokali zipi zinazosomwa pamoja na konsonanti zinazoandikwazilizoandikwa.
 
Lugha hai zinazotumia muundo wa abjadi ni Kiarabu, [[Kiebrania]] na [[Kiaramu]] ambazo zote ni [[lugha za Kisemiti]]. Lugha nyingi za Kisemiti za kihstoriakihistoria zisizo na wasemaji tena zilituma pia mwandiko wa abjadi.
 
Mwandiko wa abjadi wa kwanza ilikuwa herufi za [[Kifinisia]].
 
Abjadi za kisasa huwa na uwezekano kuandika vokali pia lakini zinachapishwa tu katika [[vitabu]] vya [[watoto]] wadogo wanaoanza kusoma au kwa maneno machache yenye [[matamshi]] tofauti lakini konsonanti sawa.
 
== Abjadi kama muundo wa mwandiko kwa lugha zisizo Kisemiti ==
Kusoma mwandiko wa abjadi kunaleta matatizo zaidi kuliko kusoma alfabeti au abugida kwa sababu herufi zinaonyesha sehemu ya matamshi tu.
 
Kutokana na uenezaji wa Uislamu uliotumia Kiarabu kama lugha ya kimataifa kuna pia lugha nyingine zisio Kisemiti zinazoandikwa kwa kutumia [[herufi za Kiarabu]] na hizi ni hasa [[Kiajemi]], [[Kidari]], [[Kikurdi]], [[Kiurdu]], [[KipunjabiKipanjabi]], [[Kisindhi]] na [[Kipashto]] yaani lugha katika eneo kati ya [[Irak]] hadi [[Uhindi]].
 
Tangu [[karne ya 20]] lugha nyingi ambazo si za kisemitiKisemiti ziliachazimeacha kutumia abjadi yaani herufi za Kiarabu: kwa mfano [[Kiswahili]] na [[Kituruki]] zikahamia kwa matumizi ya [[alfabeti ya Kilatini]].
 
== Tazama pia ==