Tofauti kati ya marekesbisho "Pate"

215 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q542168 (translate me))
No edit summary
[[Picha:Lamu Pate Map.jpg|thumb|right|300px|Ramani ya kisiwa cha Pate (Kenya)]]
'''Pate''' ni [[kisiwa]] kikubwa cha [[funguvisiwa]] yala [[Lamu]] mbele ya [[pwani]] laya [[Kenya]] katika [[Bahari Hindi]]. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na [[Somalia]]. Wakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na [[Siyu]]; wakati wa maji kupwa mtaro huwa ni pakavu.
 
Wakati ya [[maji kujaa]] Pate inagawanywa katika sehemu [[mbili]] kwa mtaro wa [[bahari]] karibu na [[Siyu]]; wakati wa [[maji kupwa]] mtaro huwa pakavu.
Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza pa kutembelewa na wafanyabiashara [[Waarabu]], labda kuanzia karne ya 7 [[BK]]. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu [[Azania]] kama vile [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]].
 
Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza pa kutembelewa na [[wafanyabiashara]] [[Waarabu]], labda kuanzia [[karne ya 7]] [[BK]]. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu [[Azania]] kama vile [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]].
Kisiwa cha Pate kilikuwa mahali pa miji muhimu ya Waswahili [[Pate (mji)|Pate]], [[Siyu]] na [[Faza]] iliyoshindana na mji wa Lamu juu ya kipaumbele katika funguvisiwa. Katika karne ya 19 BK umuhimu wa miji hii ilirudi nyuma.
 
Kisiwa cha Pate kilikuwa sehemumahali pa [[miji]] muhimu ya dola[[Waswahili]] la[[Pate (mji)|Pate]], [[UsultaniSiyu]] yana Zanzibar[[Faza]] iliyoshindana na mji wa Lamu juu ya kipaumbele katika funguvisiwa. Katika [[karne ya 19]] umuhimu wa miji hiyo ilirudi nyuma.
 
Kisiwa kilikuwa sehemu ya [[dola]] la [[Usultani ya Zanzibar]] katika karne ya 19.
Siku hizi Faza ni kijiji kikubwa cha Pate penye hospitali ndogo, polisi, nyumba ya wageni, shule ya sekondari na maduka. 2004 palikuwa na gari moja tu kisiwani ni gari la hospitali.
 
Siku hizi Faza ni [[kijiji]] kikubwa cha Pate penyechenye [[hospitali]] ndogo, [[polisi]], [[nyumba ya wageni]], [[shule]] ya [[sekondari]] na [[Duka|maduka. 2004 palikuwa na gari moja tu kisiwani ni gari la hospitali]].
 
[[Mwaka]] [[2004]] palikuwa na [[gari]] [[moja]] tu kisiwani, yaani gari la hospitali.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya visiwa vya Kenya]]
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
{{mbegu-jio-KE}}
[[Jamii:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
[[Jamii:Visiwa vya Kenya]]
[[Jamii:Waswahili]]
[[Jamii:Kaunti ya Lamu]]