Hoteli za Sheraton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1043595 lililoandikwa na 192.121.232.253 (Majadiliano)
Tag: Undo
No edit summary
Mstari 4:
[[Picha:SheratonCairo.jpg|thumb|300px|Hoteli ya Sheraton ya [[Cairo]]]]
[[Picha:sheratonhanoi.jpg|thumb|300px|Hoteli ya Sheraton ya [[Hanoi]]]]
'''''Hoteli za Sheraton''''' ndiyo rajamu kubwa kabisa na inachukua nafasi ya pili baada ya Westin katika ukongwe baina ya hoteli zote za Starwood.(Westin ndio kongwe kabisa) [[Makao makuu]] ya [[Starwood]] ni katika [[White Plains]], [[New York]].
 
== Historia ya Sheraton ==
 
Asili ya jina la rajamu hii ni mwaka wa 1937 ambapo Ernest Henderson na Robert Moore walinunua hoteli ya Stonehaven huko,[[Springfield]],[[Massachusetts]]. Hoteli hizi zilipata jina lao kutoka hoteli moja ya kitambo ambayo hawa wawili walikuwa wamenunua.Hoteli hiyo ilikuwa na ubao uliomulikwa na taa ndogo na kuonyesha jina "Sheraton Hotel".Ubao huo ungekuwa ghali kung'oa kwa sababu ya uzito wake.Hivyo basi,wakaamua kuita hoteli zao zote kwa jina hilo.
 
 
Henderson na Moore walikuwa wamefungua hoteli tatu kule [[Boston]] ilipofika mwaka wa 1939, waliendelea na upanuzi wa haraka huku wakinunua vipande vya ardhi kando ya pwani nzima ya Mashariki huko [[Marekani]]. Mnamo mwaka wa 1945,hoteli za Sheraton ilikuwa ni hoteli ya kwanza kuwa katika soko la hisa la [[New York]].
 
 
Hapo mwaka wa 1949,hoteli za Sheraton ilipanuka katika mipango ya kimataifa kwa ununuzi wa hoteli za [[Canada]] mbili. Katika mwaka wa 1960,hoteli za Sheraton ziliendelea kuongezeka huku wakifungua hoteli ya kwanza nje ya Amerika ya Kaskazini kwa ufunguzi wa [[Tel Aviv]]-Sheraton katika mwezi wa Februari 1961 na Macuto-Sheraton nje ya Caracas, Venezuela katika mwaka wa 1963. Ilipofika mwaka wa 1965,hoteli ya 100 ya Sheraton ilijengwa. Kundi la kimataifa la ITT ilinunua hoteli zote za Sheraton,hapo mwaka wa 1968,kisha hoteli hizo zilijulikana kama ITT Sheraton.
 
 
ITT Sheraton walifanikiwa sana katika mwaka wa 1985 ilipokuwawa kampuni ya kwanza ya nchi za Magharibi kuendesha hoteli katika Jamhuri ya Watu wa Uchina na kuchukua usimamizi wa hoteli ya serikali iliyoitwa Hoteli ya Great Wall mjini Beijing, ambayo ikawa Great Wall Sheraton.
Line 25 ⟶ 22:
 
Tangu kununua hoteli za ITT Sheraton, Starwood imeunda jina jipya kutoka hoteli zao. Hoteli za St. Regis zimepewa jina lao kutoka hoteli maarufu iliyo katika Fifth Avenue mjini New York,ambayo imekuwa hoteli ya Sheraton kwa miaka. Hoteli hiyo na Sheraton ya zamani iliyokuwa Carlton,[[Washington D.C]]. ndizo zilizokuwa hoteli za kwanza katika Hoteli za Sheraton zilizotandaa kote ulimwenguni.
 
 
== Angalia Pia ==
 
* [http://en.wikipedia.org/wiki/Eppley_Hotel_Company Kampuni ya Hoteli ya Eppley]
* [http://en.wikipedia.org/wiki/Sheraton_Hawaii_Bowl Sheraton Hawaii]
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
{{commonscat|Sheraton hotels}}
 
* [http://www.sheraton.com/ Hoteli za Sheraton - Tovuti Kamili]
 
* [http://www.starwoodhotels.com/ Hoteli za Starwood - Tovuti Kamili]
 
* [http://www.starwoodhotels.com/sheraton/search/hotel_directory.html Sheraton - Orodha ya Hoteli]
 
* [http://www.starwoodhotels.com/preferredguest/index.html Mpango wa Wageni wa Starwood]
 
* [http://www.sheratonabudhabihotel.com/ Sheraton Abu Dhabi]
 
 
== Marejeo ==
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,827438,00.html?iid=chix-sphere Corporations: Running to Cover]
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,978648-1,00.html Vile Aga Khan walifeli]
 
[[Jamii:Makampuni ya Marekani]]
{{commonscat|Sheraton hotels}}
[[Jamii:Hoteli za Starwoodminyororo]]
{{Reflist}}
 
[[Jamii:Kampuni za Hoteli]]
[[Jamii:Kampuni zanye makao White Plains, New York]]
[[Jamii:Kampuni zilizoanzishwa 1937]]
[[Jamii:Hoteli za Starwood]]