Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Josjakeson (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChriKo
Tag: Rollback
→‎Tanbihi: , →‎Marejeo: , Kunchangia zaidi
Mstari 28:
'''Mchwa''' ni [[wadudu]] wadogo wa [[oda ya chini]] [[Isoptera]] katika [[oda]] [[Blattodea]] wanaoishi kwa makoloni makubwa katika [[kichuguu|vichuguu]]. Takriban [[spishi]] zote hula [[ubao]].
 
Kila [[koloni]] lina [[malkia (mdudu)|malkia]], [[mfalme (mdudu)|mfalme]], [[askari (mdudu)|askari]] na [[wafanyakazi (mdudu)|wafanyakazi]].<ref>{{Cite web|url=https://www.nationalgeographic.com/animals/invertebrates/group/ants/|title=Ants {{!}} National Geographic|date=2011-05-10|work=Animals|accessdate=2019-02-13}}</ref> Askari na wafanyakazi hawana [[mabawa]] lakini malkia na mfalme waliwahi kuwa na mabawa walipokuwa [[vijana]]. Mfalme anamtia malkia [[mimba]] na huyu anazaa [[yai|mayai]] mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanyakazi wanafanya kazi nyingine zote.
 
Mara kwa mara wafanyakazi wanawapatia majana kadhaa [[chakula]] fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa [[kumbikumbi]].<ref>{{Cite web|url=https://pestsguide.com/termites/termite-larvae|title=Termite Larvae – What Does Baby Termite Look Like?|date=2018-11-24|language=en-US|work=PestsGuide|accessdate=2019-02-13}}</ref>
 
Utafiti wa hivi karibuni waonyesha mchwa, hasa mchwa wa Jangwa la [[Sahara]], kuwa ndiye mnyama anayestahimili joto zaidi. Spishi hii ya mchwa inaweza kustahimili joto hadi nyuzi 55.1.<ref>{{Cite web|url=http://www.bbc.com/earth/story/20141008-record-breaking-ant-takes-the-heat|title=The ant that is the hottest insect in the world|author=Nic Fleming|language=en|work=www.bbc.com|accessdate=2019-02-13}}</ref>
 
== Bidii na umoja ==
Line 67 ⟶ 69:
</gallery>
 
== Viungo vya njeTanbihi ==
{{Reflist}}
 
== Marejeo ==
https://en.wikipedia.org/wiki/Ant
 
== Viungo vya nje ==
https://pestpolicy.com/best-fire-ant-killer-for-lawns/