Tofauti kati ya marekesbisho "Anime"

32 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
| image3 = Buruma003.png
}}
'''Anime''' ni [[istilahi]] ya kutaja "Animation" au [[katuni]] hai kwa [[lugha]] ya [[Kijapani]]. [[Asili]] yake hasa ni [[Kiingereza]], lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani. Lakini nchini [[Japani]], anime huwa wanalitumia pia kwa katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao. Makala hii inahusu katuni za Japani.
 
Baadhi ya katuni huchorwa kwa [[mkono]], lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia [[kompyuta]]. Kuna aina chungu nzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu [[michezo]], [[mazingaombwe]] au [[Mapenzi|mahaba]]. Hii ni baadhi ya mifano.