Dinosauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
* Saurischia
}}
'''Dinosauri''' (kutoka [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] δεινός, ''deinos – "wa kutisha"'', σαῦρος, ''sauros - "mjusi"''; pia: '''dinosau, dinosari, dinosaria''') ni [[jina]] la [[kundi]] la [[reptilia]] wakubwa sana walioishi [[duniani]] miaka [[milioni]] kadhaa iliyopita.
[[Picha:Trex1.png|thumb|left|Kulinganisha ukubwa wa [[tiranosauri]] na [[binadamu]].]]
 
[[Wataalamu]] huamini ya kwamba dinosauri walitokea miaka milioni 230 iliyopita wakatoweka ghafla miaka 65 iliyopita. [[Ndege (mnyama)|Ndege]] hutazamwa kuwa katika [[nasaba]] ya dinosauri.
 
[[Ujuzi]] kuhusu [[wanyama]] hao unatokana na [[visukuku]] vyao (mabaki ambayo yamekuwa [[mawe]]) kama vile [[mfupa|mifupa]], [[wayo|nyayo]], ma[[yai]] au [[samadi]]. Visukuku vya dinosau vimepatikana kwenye ma[[bara]] yote, hata [[Antaktika]], kwa sababu waliishi wakati mabara yote yalikuwa bado pamoja kama bara kubwa asilia la [[Pangaia]].
 
==Spishi zao==
Hadi sasa [[spishi]] 500 zimegundulika na [[idadi]] ya spishi zilizotambuliwa inazidi kuongezeka.
 
Kutokana na [[meno]] yao imewezekana kutambua [[chakula]] chao., Wenginekwamba wengine walikuwa wala ma[[jani]], wengine wala [[nyamawalanyama]].
 
Wale wakubwa sana walikula majani kama vile [[apatosauri]] na [[brakiosauri]] na hao walikuwa ndio [[viumbehai]] wakubwa kabisa waliowahi kutembea duniani.
 
Wala nyamaWalanyama walikimbia kwa [[miguu]] miwili ya nyuma jinsi wanavyofanya [[watu]] lakini pia [[majusimijusi]] kadhaa zawa leo.
 
Kulikuwa pia na reptilia wakubwa walioruka [[Hewa|hewani]] walioitwa [[pterosauri]], lakini kinasaba hawakuwa karibu sana na dinosauri.
 
Wengine wakubwa waliishi [[bahari]]ni kama [[ikhtiosauri]] na [[plesiosauri]]; hata hao walikuwa kundi lingine.
 
== Picha ==
[[Picha]] zifuatazo zinaonyesha kwanza visukuku vya kweli vya dinosau halafu [[uchoraji]] au [[sanamu]] zinazoonyesha jinsi gani [[wataalamu]] wanadhani mnyama alionekana.
<gallery>
image:Triceratops Struct.jpg|Kiunzi cha triseratopsi
 
image:Stegosaurus Struct.jpg|Kiunzi cha stegosauri (New York)
image:Bałtów Park Jurajski 001.jpg|Sanamu ya stegosauri