Fani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removed redirect to Fani (fasihi)
Tag: Removed redirect
No edit summary
 
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi tofauti ya neno hili angalia makala [[Fani (fasihi)]]</sup>
 
'''Fani''' (kutoka ar. '''فنع''' "bora") ni uwanja maalumu wa elimu, maarifa au kazi. Kutaja kazi fulani kuwa "fani" kunahitaji kiwango fulani wa ubora au taaluma.
 
Mifano ya fani katika [[ufundi]] ni pamoja na [[useremala]], [[ujenzi]], [[uhunzi]], [[upishi]] au [[uchoraji]].