Metali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hot metalwork.jpg|thumb|250px|Chuma ya moto ikifuliwa na [[mhunzi]].]]
'''Metali''' (kutoka [[ing.Kiingereza]] [[:en:metal|metal]]) ni [[kundi]] la [[elementi]] zenye [[tabia]] za pamoja kama vile
* zapitishazinapitisha [[umeme]] kirahisikwa urahisi
* zapitishazinapitisha [[joto]]
* zinang'aa
* ni wayaikaji (zinaweza kubabatizwa kuwa wembamba kama [[waya]] au kupinduliwa kabla ya kuvunjika)
 
[[Kemia|Kikemia]] tabia hizihizo zote zatokanazinatokana na [[muungo metali]] ya elementi hizihizo. Kinyume chake [[simetali]] kwa kawaida ni [[kechu]] kama
[[mangu]], hazing'ai na zinahami (hazipitishi umeme).
 
[[Idadi]] kubwa ya elementi katika [[mfumo radidia]] huhesabiwa kati ya metali. Kuna pia elementi zinazoonyesha tabia za kati ya metali na simetali kama vile [[metaloidi]] au [[nusumetali]].
 
Mifano ya metali ni
Mstari 17:
* [[natiri]]
* [[alumini]]
 
 
== Historia ya matumizi ==
Metali zimetumiwa na [[binadamu]] kwa vyombo vyao tangu zamani. Mwanzoni watu walitumia [[mawe]] tu kwa vifaa vingi., Lakinilakini baadaye walitambua faida ya metali. Hapo ilikuwa lazima kujifunza jinsi ya kutoa metali yenyewe katika hali ya [[oksidi]] au michanganyiko ya matapo jinsi zinavyotokea kwa kawaida.
 
Metali za kwanza zilizotumiwa ni [[dhahabu]] na [[shaba]] zinazoweza kupatikana kama metali tupu na safi. Ziko laini, hivyo zinaweza kupewa [[umbo]] kwa kupigwa kwa [[nyundo]] ya jiwe. Kuna mifano ya [[Pambo|mapambo]] ya kale sana.
 
Katika [[Asia]] na [[Ulaya]] [[shaba]] ilikuwa metali ya kwanza iliyotumiwa na watu. Baadaye waliiyeyusha na kukoroga pamoja na [[stani]] kuwa [[aloi]] ya [[bronzi]] ambayo ni ngumu zaidi.
 
Takriban mnamo [[1200 KK]] watu wa kwanza walianza kutumia chuma. Maarifa hayahayo yalienea katika pande nyingi za [[dunia]].
Katika [[Asia]] na [[Ulaya]] [[shaba]] ilikuwa metali ya kwanza iliyotumiwa na watu. Baadaye waliiyeyusha na kukoroga pamoja na [[stani]] kuwa [[aloi]] ya [[bronzi]] ambayo ni ngumu zaidi.
Takriban mnamo [[1200 KK]] watu wa kwanza walianza kutumia chuma. Maarifa haya yalienea katika pande nyingi za dunia.
 
Katika [[Afrika]] watu walianza kutumia moja kwa moja chuma jinsi inavyoonekana kutokana na [[utafiti]] wa [[akiolojia]] katika [[Nigeria]].
 
[[Picha:Chino copper mine.jpg|thumb|right|250px|[[Mgodi]] mkubwa wa kuprishaba katika [[New Mexico]] (Marekani).]]
 
== Kupatikana kwa metali ==
Metali zapatikanazinapatikana mara nyingi ndani ya [[miamba]] mbalimbali kama [[mtapo]]. Kunatokea pia ya kwamba zapatikanazinapatikana kama metali tupu. Lakini njia ya kawaida ni kuvunja mwamba mwenyewenye mtapo ndani yake na kutoa metali kwa njia ya joto au kwa kutumia [[kemikali]].
 
Mahali pa kuchimba metali huitwa migodi. Mara nyingi ni lazima kuchimba chini ya uso wa [[ardhi]] ili kupata mtapo.
 
==[[Aloi]] za metali==
Line 45 ⟶ 44:
 
==Tabia ya kimetali za nyota==
Katika [[fani]] ya [[astronomia]] [[jina]] "metali" hutumiwa kwa maana tofauti. Hapa [[nyota]] ina [[tabia ya kimetali]] (''[[:en:metallicity|metallicity]]'') kama ina elementi ndani yake ambazo ni nzito kuliko [[hidrojeni]] na [[heli]]. Wakati mwingine wanaangalia tu elementi nzito kuliko [[kaboni]] katika makadirio ya "tabia ya kimetali".
 
{{mbegu-sayansi}}