Uvimbe wa ubongo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uvimbe wa ubongo''' (kwa Kiingereza ''encephalitis'') ni ugonjwa ambao husababisha ubongo kuvimba ghafla. Kwa kawaida husababishwa na virusi,...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Uvimbe wa ubongo''' (kwa [[Kiingereza]] ''encephalitis'') ni [[ugonjwa]] ambao husababisha [[ubongo]] kuvimba ghafla. Kwa kawaida husababishwa na [[virusi]], [[bakteria]], au vijidudu vingine. Kadiri ubongo unavyovimba, huweza kuharibiwa wakati unapokwaruzana na [[fuvu]].
Uvimbe wa ubongo unaweza kusababisha [[dalili]] hatarishi kama vile [[Mwaka]] [[2013]], ugonjwa wa uvimbe wa ubongo uliua watu 77,000 [[duniani]]. == Ishara na dalili ==
Kwa kawaida, watu wazima wenye ugonjwa wa uvimbe wa ubongo wana [[homa]] inayoanza ghafla, [[maumivu]] ya [[kichwa]], kuchanganyikiwa, na wakati mwingine [[kifafa]]. [[Watoto]] wadogo au watoto wachanga wanaweza kuwa na [[hasira]], hawataki kula, na hupatwa na [[homa]].
Kwa kawaida wagonjwa huwa wanachoka sana au wanachanganyikiwa. {{mbegu-tiba}}
[[Jamii:Magonjwa]]
[[Jamii:Ubongo]]
|