Tenzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Tenzi''' ni tungo ndefu za [[ushairi]] zinazoelezea juu ya mambo fulani na huwa na pande moja katika utenzi wake (yaani huwa na vina vya Kati tu).
 
Tenzi huweza kuwa na mpangilio wa [[silabi]] zinazolingana katika kila mstari pia haufuati urari wa mizani katika mshororo wake.
 
Mfano wa tenzi:
Mstari 15:
Hati hii ya huba,
Andikwa iwe haiba,
Asaa itakufaa.3.Iwe kwako tiba,
Kwa shida za maswahiba,
Wasije wakaihiba,
Usije ukajutia.
{{mbegu-lugha}}