Waluo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Waluo''' (pia '''Wajaluo''') ni [[kabila]] hasa lakutoka [[Sudan Kusini]]. Wako piahasa [[magharibi]] mwa [[Kenya]], [[kaskazini]] mwa [[Uganda]] na [[mashariki]] mwa [[Tanzania]] katika [[Mikoa]] ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Mwanza|Mwanza]]. Nchini Kenya ni kabila la [[Lughanne]] yaokwa niwingi wa watu (11% za wakazi wote wa nchi). Inawezekana katika nchi hizo kwa jumla wamezidi [[Kiluomilioni]]. Wenyewe7, hujiita Jaluombali na lughamakabila yaoya Dhulou.jamii hiyohiyo.
 
[[Lugha]] yao ni [[Kiluo]]. Wenyewe hujiita Jaluo na lugha yao Dhulou.
Waluo ni mkusanyiko wa kabila la Kiniloti ambalo lilisafiri kutoka [[Afrika ya Kaskazini]] kufuata mto [[Nile]] kuja [[Kusini]]. Waluo wengi wameenea kandokando ya [[Ziwa Viktoria]] kutokana na [[utamaduni]] wao wa [[uvuvi]].
 
Waluo ni mkusanyiko wa kabila la Kiniloti[[Waniloti]] ambalo lilisafiri kutoka [[Afrika ya Kaskazini]] kufuata [[mto]] [[Nile]] kujakwenda [[Kusini]]. Waluo wengi wameenea kandokando ya [[Ziwa Viktoria]] kutokana na [[utamaduni]] wao wa [[uvuvi]].
 
==Wajaluo mashuhuri==
*[[Philemon Sarungi]] - Mtaalam[[Mtaalamu]] wa [[udaktari]] na [[kiongozi]] nchini Tanzania
*[[Gidi Gidi Maji Maji]] - [[Wasanii]] wa [[muziki]] aina ya [[hip hop]]
*[[Tom Mboya]] - [[mwanasiasa]] aliyeuawa [[mwaka]] [[1969]]
*[[Barack Obama]] - mwanasiasa na [[Rais]] wa [[Marekani]] ni [[mwana]] wa [[baba]] Mjaluo
*[[Jaramogi Oginga Odinga]] - mwongozi wa Wajaluo kutoka wakati wa kupigania [[uhuru]], mwanzilishaji[[mwanzilishi]] wa [[Vyama vya kisiasa nchini Kenya|vyama]] vya [[KANU]], [[KPU]], [[FORD-Kenya]] na [[makamu wa rais]] wa kwanza
*[[Raila Amolo Odinga]] - mwana wa Jaramogi na mwanasiasa muhimu wa kitaifa
*[[Robert Ouko]] - waziri wa mambo ya nje aliyeuawa 1990.
*[[Robert Ouko]] - hayati waziri wa mambo ya kigeni aliyeuawa 1990.(Hayati Daniel owino missiani mwanamuziki mtanzania aliyewahi kuwania tuzo la muziki aina ya rhumba huko nchini kenya alifariki mwaka 2006 nakuzikwa huko shirati rorya.wajaluo wengine maarufu ni Riaga ogalo.ni mwenyekiti wa wajaluo afrika mashariki,baadhi ya wazee maarufu wilayani rorya ni kama,mtemi odemba kagose wa buturi.mtemi ochuodho awino wa kamageta. pia mzee mirimbo oreck ragare huyu ndiye mzee wa kwanza kamageta kununua baiskeli, alikufa mwaka 1999 huko kamageta ktk kijiji cha osiri.daniel opanga oole wa kamageta(babake balozi joshua watson opanga) alifariki mwaka 1992 ndiye mwanzilishi wa kanisa la menonite huko kamageta kata ya roche rorya,wengine ni timothy apiyo waziri mkuu mstaafu wa watanzania.
*[[Daniel Owino Missiani]] - [[mwanamuziki]] Mtanzania aliyewahi kuwania tuzo la muziki aina ya rhumba nchini Kenya alifariki mwaka 2006 na kuzikwa Shirati Rorya
*[[Riaga Ogalo]] - [[mwenyekiti]] wa Wajaluo Afrika Mashariki
*[[Odemba Kagose]] - [[mtemi]] wa Buturi
*[[Ochuodho Awino]] - mtemi wa Kamageta
*[[Mirimbo Oreck Ragare]] - mzee wa kwanza Kamageta kununua [[baiskeli]], alikufa mwaka 1999 katika [[kijiji]] cha Osiri.
*[[Daniel Opanga Oole]] wa Kamageta (baba wa [[balozi]] Joshua Watson Opanga) - mwanzilishi wa [[kanisa]] la [[Wamenno|Wamenonite]] huko Kamageta, [[kata]] ya Roche, Rorya, alifariki mwaka 1992
*[[Timothy Apiyo]] - [[waziri mkuu]] mstaafu wa Tanzania
 
==Viungo vya nje==
Line 22 ⟶ 31:
[[Jamii:Makabila ya Kenya]]
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Mara]]
[[Jamii:Mkoa wa Mara]]
[[Jamii:Kaunti ya Kisumu]]