Ali Hassan Mwinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 23:
}}
{{History of Tanzania}}
'''Ali Hassan Mwinyi''' (amezaliwa [[8 Mei]] [[1925]]) alikuwa Rais wa Pili wa [[Tanzania]] kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni [[Mwalimu Julius Nyerere]], na aliyemfuata ni [[Benjamin Mkapa]].'''Ali Hassan Mwinyi''' alikuwa Rais wa Tatu wa [[Zanzibar]] kuanzia 1984 hadi 1985. Aliyemtangulia ni [[Aboud Jumbe Mwinyi]] na aliyemfuatia ni [[Idris AbdulWakil Nombe]].
 
Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.