Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Bilyan7777 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 82:
[[Picha:Pt Thomson Batian Nelion Mt Kenya.JPG|thumb|200px|right|Mlima Kenya ni kilele cha juu kabisa nchini. Kenya imepata jina lake kutoka mlima huo.]]
Kenya ni nchi ya 47 kwa ukubwa [[duniani]] ikifuata mara [[Madagaska]] {{Convert|580367|km2|sqmi|abbr=on}} <ref name="CIA World factbook Kenya" /> ikiwa na eneo la [[kilomita za mraba|kilomita mraba]] 580,367 ([[maili mraba]] 224,081).
 
[[Picha:Kenya-IGAD-eXPORT-7000000.svg|right|400px|thumb]]
Kutoka [[pwani]] ya Bahari ya Hindi, nyanda za chini zimeinuka hadi milima ya kati. Milima hii imetenganishwa na eneo la [[Bonde la Ufa]]; sehemu [[tambarare]] yenye [[rutuba]] upande wa [[mashariki]]. Milima ya Kenya ni kati ya iliyofaulu kwa [[kilimo]] barani Afrika.