Ali Hassan Mwinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
No edit summary
Mstari 23:
}}
{{History of Tanzania}}
'''Ali Hassan Mwinyi''' (amezaliwa [[8 Mei]] [[1925]]) alikuwa Rais wa Pili wa [[Tanzania]] kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni [[Mwalimu Julius Nyerere]], na aliyemfuata ni [[Benjamin Mkapa]].'''Ali Hassan Mwinyi'''Pia alikuwa Rais wa Tatumwenyekiti wa [[Zanzibar]]Chama kuanzia 1984 hadi 1985. Aliyemtangulia ni [[Aboud JumbeCha MwinyiMapinduzi]] na(CCM) aliyemfuatiakuanzia ni1990 [[Idrishadi AbdulWakil Nombe]]1996.
 
Kabla ya hapo alikuwa Rais wa Tatu wa [[Zanzibar]] kuanzia [[mwaka]] [[1984]] hadi [[1985]]. Aliyemtangulia ni [[Aboud Jumbe Mwinyi]] na aliyemfuatia ni [[Idris AbdulWakil Nombe]].
Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.
 
Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.
 
Mwinyi alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Unguja]] (Zanzibar).
 
Wakati wa urais wa Mwinyi, sera za [[Ujamaa]] zilianza kugeuzwa. Badala yake sera za [[soko huruhuria]] zilianzishwa, masharti ya kuingiza [[bidhaa]] kutoka nchi za nje yalipunguzwa na uanzishaji wa [[biashara]] ya watu binafsi ulihamasishwa. Mwaka wa [[1991]], uanzishaji wa vyama vingi uliruhusiwa.
 
Sera za soko huruhuria za Mwinyi zimeendelezwa chini ya Rais Benjamin Mkapa. Mwinyi mwenyewe, baada ya kustaafu, hakujiingiza katika mambo ya siasa tena. Anaendelea kuishi huko [[Dar es Salaam]].
 
==Heshima na Tuzo==