Somaliland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Bilyan7777 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 53:
 
'''Somaliland''' (kwa [[Kisomalia]]: ''Soomaaliland'') ni [[eneo la kujitawala]] [[kaskazini]] mwa [[Somalia]].
 
Hali halisi ni [[nchi huru]] tangu mwaka [[1991]] lakini haijatambuliwa na umma wa kimataifa, wala nchi nyingine yoyote.
 
Eneo lake ni karibu sawa na [[koloni]] la zamani la [[Somalia ya Kiingereza]]: jumla [[kilomita za mraba]] 137,600 iliyokuwa nchi huru kwa siku chache mwaka [[1960]] kabla ya kuungana na [[Somalia ya Kiitalia]]. Lakini kanda la mashariki linaloitwa [[Sanaag]] limejiunga na jimbo la Puntland ingawa linadaiwa na Somaliland kwa sababu ilikuwa sehemu ya koloni ya Kiingereza (angalia ramani ndogo upande wa kulia: Sanaag kwa rangi kijani-neupe).
 
Imepakana na [[Ethiopia]], [[Jibuti]], [[Ghuba ya Aden]] na jimbo la [[Puntland]] la Somalia.
 
[[Mji mkuu]] wa Somaliland ni [[Hargeisa]].
 
[[Picha:Somaliland-map-en.png|thumb|250px|rightleft|Ramani ya Somaliland]]
[[File:Canjeelo.jpg|thumb|Somali [[lahoh]] (''canjeero'').]]
[[File:Lamadayawaterfalls6.jpg|thumb|[[Maporomoko ya maji]] ya [[Lamadaya]] kwenye [[mlima Cal Madow]].]]