Boma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:A boma in the forest.jpg|thumb|Boma palehuko [[Katanga]] kwenye karne ya 19]]
[[Picha:Old Boma Building, Blantyre.jpg|thumb|Old Boma Building, Blantyre ]]
[[picha:Bundesarchiv Bild 105-DOA0698, Deutsch-Ostafrika, Sadani, Boma.jpg|thumb|Boma la Wajerumani pale [[Saadani<nowiki>]]</nowiki>, mnamo 1912]]
'''Boma''' ni sehemu au hasa jengo lililoviringishwa kwa vizuizi ili watu wasipite kirahisi kwa shabaha ya kujitetea dhidi ya maadui. Maana ya neno hili linaweza kuwa karibu na "[[ngome]]" lakini linaweza kutaja pia sehemu yoyote iliyoimarishwa kwa mfano "boma la ng´ombe" kama sehemu iliyviringishwa kwa miiba kwa kutunza mifugo wakati wa usiku.
 
Mstari 12:
 
Huko Kenya [[Ngome ya Yesu]] hutwa pia "Boma la Yesu".
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[jamii:Majengo]]