Boma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Old Boma Building, Blantyre.jpg|thumb|Old Boma Building, [[Blantyre]] ]]
[[picha:Bundesarchiv Bild 105-DOA0698, Deutsch-Ostafrika, Sadani, Boma.jpg|thumb|Boma la Wajerumani pale [[Saadani]], mnamo 1912]]
'''Boma''' ni sehemu au hasa jengo lililoviringishwa kwa vizuizi ili watu wasipite kirahisi kwa shabaha ya kujitetea dhidi ya maadui. Maana ya neno hili linaweza kuwa karibu na "[[ngome]]" lakini linaweza kutaja pia sehemu yoyote iliyoimarishwa kwa mfano "boma la ng´ombe" kama sehemu iliyviringishwailiyoviringishwa kwa miiba kwa kutunza mifugo wakati wa usiku.
 
==Historia==