Boma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 9:
Wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Wajerumani]] walieneza utawala wao kwa kujenga nyumba imara zilizofaa kwa kujitetea yaani maboma. Kutokana na vyanzo hivi "boma" liliendelea kutaja makao ya maafisa wa kiutawala na kwa maana hiyo hadi leo hata majengo ya wakuu wa wilaya mara nyingi huitwa "boma". Kwa njia hii "boma" au "bomani" imekuwa sehemu ya majina ya maeneo na kata mbalimbali katika Tanzania.
 
Kuna pia matumizi ya neno "boma" inayoweza kufanana na "[[kaya]]" kwa maana ya makazi ya familia. Katika vitabu vya watalii nyumba za [[Wamasai]] wakati mwingine huitwa pia "boma" lakini hii si lugha ya wenyewe.<ref>linganisha [https://www.tripadvisor.com/ShowUserReviews-g317085-d8845478-r380966037-Masai_Tribe-Ngorongoro_Conservation_Area_Arusha_Region.html hapa Visiting a Masai Boma], na [https://gapforce.org/our-blog/2012/02/what-is-a-maasai-boma-what-to-expect-living-with-the-maasai/ hapa What is a Maasai Boma]</ref>
Kuna pia matumizi ya neno "boma" inayoweza kufanana na "[[kaya]]" kwa maana ya makazi ya familia.
 
Huko Kenya [[Ngome ya Yesu]] hutwa pia "Boma la Yesu".