Beowulf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
katika utamaduni wa kisasa
Mstari 1:
[[File:Beowulf Cotton MS Vitellius A XV f. 132r.jpg|thumb|250px|]]
[[File: David Woodard Exploding Beowulf.jpg|thumb|[[David Woodard]] anacheza Beowulf na Grendel katika ''Exploding Beowulf'' ([[Berlin]], 2010)]]
'''Beowulf''' ni [[tendi]] mashuhuri ya [[fasihi]] ya [[Kiingereza cha Kale]]. [[Kitabu]] kilichopo hadi sasa kiliandikwa mnamo [[975]]-[[1025]] [[BK]], lakini inawezekana tendi ilitungwa mapema zaidi.