Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Zambia]] na [[Tanzania]] ([[Mkoa wa Mbeya]], [[Wilaya ya Mbozi]]). Pia wako [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
 
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]].
 
Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. [[Chifu]] wa Wanyiha ni [[Nzunda]].
 
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
 
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]]. Wanyiha wengi wanapatikana wilaya ya mbozi. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]]. Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. Chifu wa Wanyiha ni [[Nzunda]].
 
==Marejeo==
Line 14 ⟶ 16:
* Willis, Roy G.; ''The Fipa and Related Peoples''
* Weule, Karl; ''Deutsches Kolonial Lexicon'', Band IIIs. 673
{{Makabila ya Tanzania}}
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Nyiha}}
 
{{Makabila ya Tanzania}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Makabila ya Zambia]]