Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Bilyan7777 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 159:
=== Historia kabla ya ukoloni ===
[[Picha:Great Mosque of Gede.jpg|thumb|left|300px|[[Msikiti mkuu]] wa [[Gedi]] ambao ni wa kutoka [[karne ya 13]].]]
Wakazi wa kwanza wa eneo linaloitwa Kenya walikuwa wa jamii ya [[Wakhoisan]]: hadi leo kuna makabila matatu madogo yenye asili hiyo, ingawa yanatumia [[lugha za Kikushi]]: [[Waata]], [[Waawer]] na [[Wadahalo]].
[[Wakushi]] kutoka [[Afrika kaskazini]] waliingia eneo linaloitwa Kenya [[miaka ya 2000 KK]].<ref name="pbs.org">[http://www.pbs.org/wonders/fr_e2.htm Wonders wa Afrika World - [[PBS]]]</ref>
 
[[Wakushi]] kutoka [[Afrika kaskazini]] waliingia eneo linaloitwa Kenya [[miaka ya 2000 KK]].<ref name="pbs.org">[http://www.pbs.org/wonders/fr_e2.htm Wonders wa Afrika World - [[PBS]]]</ref>
[[Wafanyabiashara]] wa Kiarabu walianza kuja [[pwani]] ya Kenya [[karne ya 1]] [[BK]]. Ukaribu wa Kenya na Uarabuni kuliraisisha [[ukoloni]], na [[Waarabu]] na [[Waajemi]] walianza kuishi eneo la pwani [[karne ya 8]]. Hata hivyo, baadhi ya walioitwa "Waarabu" katika eneo la Afrika Mashariki walikuwa ma[[chotara]], Waafrika-Waarabu.
 
[[Wafanyabiashara]] wa Kiarabu[[Waarabu]] walianza kujakufika [[pwani]] ya Kenya [[karne ya 1]] [[BK]]. Ukaribu wa Kenya na Uarabuni kuliraisishaulirahisisha [[ukoloni]], nahivyo [[Waarabu]] na [[Waajemi]] walianza kuishi eneo la pwani [[karne ya 8]]. Hata hivyo, baadhi ya walioitwa "Waarabu" katika eneo la Afrika Mashariki walikuwa ma[[chotara]], Waafrika-Waarabu.
Katika [[milenia ya kwanza]], wazungumzaji wa [[lugha za Kinilo-Sahara]] na [[lugha za Kibantu]] waliingia katika eneo hili, na sasa [[Waniloti]] ni 30% ya Wakenya wote. Pwani ya Kenya imekuwa makao ya jamii ya wahunzi na jamii ya wakulima wadogo wadogo, wawindaji na wavuvi ambao walikuwa mhimili wa uchumi kwa kushirika katika kulimo, uvuvi, utengenezaji chuma, na kufanya biashara na nchi za kigeni.<ref name="pbs.org" />
 
Katika [[milenia ya kwanza]], wazungumzaji wa [[lugha za Kinilo-Sahara]] na [[lugha za Kibantu]] waliingia katika eneo hili, na sasa [[Waniloti]] ni 30% ya Wakenya wote. Pwani ya Kenya imekuwa makao ya jamii ya [[wahunzi]] na jamii ya [[wakulima]] wadogo wadogowadogowadogo, [[wawindaji]] na [[wavuvi]] ambao walikuwa [[mhimili]] wa [[uchumi]] kwa kushirikakushiriki katika kulimokilimo, uvuvi, utengenezaji chuma, na kufanya [[biashara]] na nchi za kigeni.<ref name="pbs.org" />
 
Kuanzia [[karne ya 6]] au [[karne ya 9]], Kenya ilijihusisha na [[shughuli]] za u[[baharia]] kukuza [[uchumi]] ikaanza kutengeneza [[meli]] za kuabiria kusini hadi miji mingine yenye [[bandari]] kama [[Kilwa]] na [[Shanga]] iliyo katika pwani ya Afrika Mashariki.
 
[[Mombasa]] ulikuwa [[mji]] wenye bandari wa nchi ya Kenya kabla ya ukoloni katika [[Enzikarne yaza kati]]. Bandari hiyo ilitumika kuendeleza [[biashara]] na miji mingine yenye bandari Afrika, [[Uajemi]], na wafanyabiashara Waarabu, [[Yemeni]] na hata [[Bara Hindi]].<ref>[http://books.google.com/books?id=6u3CRDloG-YC&amp;pg=PA22&amp;lpg=PA22&amp;dq=Mombasa,+medieval+trade,+India&amp;source=web&amp;ots=KBr2nADf21&amp;sig=X9gvzWPMoRzXyLYW5YdQLVTHMpQ&amp;hl=en&amp;ei=eW2VSbTsKp6DtweemZScCw&amp;sa=X&amp;oi=book_result&amp;resnum=7&amp;ct=result Hybrid Urbanism By Nezar Al-Sayyad]</ref>
 
Mwanabaharia[[Baharia]] [[Mreno]] [[Duarte Barbosa]] wa [[karne ya 15]] alidai kuwa "[Mombasa] ni bandari nzuri na yenye shughuli nyingi, [[mashua]] nyingi na hata meli kubwa ajabu, ambazo zote hutoka [[Sofala]] na nyingine kutoka [[Cambay]], [[Melinde]] na nyingine zinazoabiri hadi kisiwani [[Unguja]]."<ref>[http://books.google.com/books?id=-3CPc22nMqIC&amp;pg=PA24&amp;lpg=PA24&amp;dq=Mombasa,+medieval+trade&amp;source=web&amp;ots=4RAxkPTIWI&amp;sig=G9JDunc4cYFCp1kdp1ghtyPG9Q0&amp;hl=en&amp;ei=Tm2VSdKwING3twfUlKS0Cw&amp;sa=X&amp;oi=book_result&amp;resnum=4&amp;ct=result Dispersal Afrika katika Deccan By Shanti Sadiq Ali]</ref>
 
Karne kadhaa kabla ya ukoloni, [[upwa]] wa Kenya wanakoishi [[Waswahili]] ulikuwa sehemu ya eneo la mashariki mwa Afrika lililofanya biashara, hasa ya [[watumwa]] na [[pembe za ndovu]] na Waarabu na [[Wahindi]]. Inasemekana kwamba [[kabila]] la [[Wameru (Kenya)|Wameru]] lilitokana na watumwa waliotoroka utumwa [[Uarabuni]] [[miaka ya 1700]]. Mwanzoni wafanyabiashara wengi walitokawalitokea [[milki]] za Uarabuni lakini baadaye wengine wakatokawakatokea Unguja (kama [[Tippu Tip]]).<ref>[http://ngm.nationalgeographic.com/ngm/data/2001/10/01/html/ft_20011001.6.html Kiswahili Coast.] Nationalgeographic.com.</ref>
 
[[Kiswahili]], ambayoambacho ni [[lugha]] ya [[Kibantu]] iliyokopa [[misamiati]] ya [[Kiarabu]], [[Kiajemi]] na mingine kutoka [[Mashariki ya Kati]] na [[Asia Kusini]], baadaye ilikua ikawa [[lingua franca]] ya kibiasharabiashara kwa jamii mbalimbali.<ref name="pbs.org" />
 
Kwa [[karne]] nyingi, upwa wa Kenya umekuwa mwenyeji wa wafanyabiashara na wasafiri. Kati ya miji iliyopo kwenye upwa wa Kenya ni, mji wa [[Malindi]]. Umebakiaumebakia kuwa makazi muhimu ya Waswahili tangu [[karne ya 14]] na wakati mmoja ulishindana na Mombasa kwa ukuu pande hizi za Afrika Mashariki. Kwa kawaida, Malindi umekuwa mji na bandari ya kirafiki kwa [[serikali]] zinginenyingine. Mwaka wa [[1414]], [[Sultani]] Mwarabu wa Malindi alianzisha uhusiano wa ki[[diplomasia]] na utawala wa [[Uchina]] wa [[Ming]], wakati wa safari za [[mchunguzi]] [[Zheng He]].<ref>[http://www.pbs.org/wgbh/nova/sultan/expl2_01.html Sultani wa Malinda, PBS]</ref> Katika mwaka wa [[1498]], utawala wa Malindi ulimkaribisha msafiri na [[mvumbuzi]] maarufu kutoka Ureno, [[Vasco da Gama]].
 
=== Chini ya ukoloni ===