Tofauti kati ya marekesbisho "Tredimili"

75 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
d
no edit summary
d
d
 
== Matumizi ya tredimili leo ==
Hivi leo, tredimili imekuwepo katika kila [[chumba cha mazoezi]]. [[Takwimu]]<ref>[https://www.sfia.org/ Sports & Fitness Industry Association <ref>https://tallpeopleguide.com/best-treadmill-for-tall-runners/]</ref> zaonyesha kwamba tredimili zinanunuliwa kwa wingi sana.
 
Tredimili zina [[uzani]] tofauti. Kuna zile ambazo hufai kuzitumia kama wewe umefikisha uzani wa [[paundi]] [[mia nne]] kwenda juu. Kuna nyingine za uzani wa paundi mia tatu hamsini kwenda juu. Hivyo kuna tredimili tofauti kulingana na watumiaji. Walio na [[uzani]] wa [[wastani]], watatumia tredimili ya wastani huku walio na [[uzito]] mwingi watatumia tredimili za watu wakubwa <ref>https://www.plussizeexpertplussizezeal.com/best-treadmill-for-bigheavy-guysperson/</ref>.
 
Mambo mengine ya kuzingatia ni mwendo wa tredimili (kwa maana tredimilli zina mwendo tofauti), ukubwa wake, na mwinuko wake.<ref>{{Citation|last=Guides Insider|first=|title=Best Treadmill Under 500|date=11 June 2018|url=https://www.guidesinsider.com/the-best-treadmill-under-500/|work=Guides Insider|volume=|pages=|language=en-US|access-date=11 July 2018}}</ref>
199

edits