Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa"

 
 
:Leo nakuonya mara ya mwisho. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 10:52, 1 Machi 2019 (UTC)
 
::Nd Hreflava ni vizuri ukitafuta kwenye intaneti tovuti ambazo zina mifano na maelezo zaidi kuhusu kichwa cha makala. Ila si kila tovuti inayofaa. Hasa haifai kuleta hapa kurasa za makampuni yanayouza vifaa. Nakubali ya kwamba wakati mwingine wana picha bora na wakati mwingine pia maelezo mazuri. Lakini zinafaa mara chache tu. Heri hadi uongeze uzoefu jaribu sasa kwa nusu mwaka kutotumia kabisa tovuti za makampuni kwa marejeo (isipokuwa ukiona kuna kampuni muhimu, hapa tunaunganisha na tovutiy a wenyewe - lakini kama makala ni kuhusu kampuni hii, si kuhusu vifaa).'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 14:24, 1 Machi 2019 (UTC)