Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Zambia]] na [[Tanzania]] ([[MkoaWilaya waya Mbeya]],Mbozi [[Wilaya..mkoa yawa Mbozisongwe]]). Pia wako [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
 
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]].
Mstari 7:
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
 
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]].inasadikiwa wanyiha ni moja ya makabila ya kibantu yenye asili ya afrika kusini...Kafka wilaya ya mbozi wanyiha wengi hupakana magharibi hasa vijiji vya Itaka,Nambizo,mbozi mission,shiwinga,igamba na maeneo mengine ya huko...pia upande wa mashariki utawakuta katika vijiji vya nyimbili,Idiwili n.k..
 
==Marejeo==