Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[ [[Tanzania]] ([[Wilaya ya Mbozi]], ..[[mkoa wa songweSongwe]]). PiaKatika wakowilaya [[Malawi]]ya Mbozi Wanyiha wengi hupatikana magharibi, hasa vijiji vya Itaka, Nambizo, Mbozi mission, Shiwinga, Igamba na sehemumaeneo mengine ya nyinginehuko. KwaPia jumlaupande niwa zaidimashariki yautawakuta 600katika vijiji vya Nyimbili,000 Idiwili n.k.
 
Tena wako [[Zambia]], [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
 
Inasadikiwa Wanyiha ni moja ya makabila ya [[Kibantu]] yenye [[asili]] ya [[Afrika Kusini]].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]].
Line 7 ⟶ 11:
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
 
Wanyiha walio wengi ni [[wakulima]]: [[zao]] kuu la [[chakula]] ni [[mahindi]] wakati zao kubwa la [[biashara]] ni [[kahawa]].inasadikiwa wanyiha ni moja ya makabila ya kibantu yenye asili ya afrika kusini...Kafka wilaya ya mbozi wanyiha wengi hupakana magharibi hasa vijiji vya Itaka,Nambizo,mbozi mission,shiwinga,igamba na maeneo mengine ya huko...pia upande wa mashariki utawakuta katika vijiji vya nyimbili,Idiwili n.k..
 
==Marejeo==