Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
: |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa''' (
Msingi wa IPA ni [[alfabeti ya Kilatini]] pamoja na [[herufi]] za pekee zilizochukuliwa kutoka alfabeti nyingine. Herufi
Mfano ni alama zinazoonyesha sauti tofauti ambazo mara nyingi zinaonyeshwa kwa herufi "[[A]]" ambazo zinaweza kuwa na sauti tofauti katika lugha na [[lahaja]] mbalimbali kama vile a {{Audio|Open front unrounded vowel.ogg|▶}} , ɐ {{Audio|Near-open central unrounded vowel.ogg|▶}}, ɑ {{Audio|Open back unrounded vowel.ogg|▶}}, ɒ {{Audio|Open back rounded vowel.ogg|▶}}, æ {{Audio|Near-open front unrounded vowel.ogg|▶}}, ɑ̃ au ʌ {{Audio|Open-mid back unrounded vowel.ogg|▶}} ''(
Orodha ya alama zote za IPA pamoja na sauti inapatikana katika
Tangu masahihisho ya [[mwaka]] [[2005]]<ref>"IPA: Alphabet". Langsci.ucl.ac.uk. Archived from the original on 10 October 2012. Retrieved 20 November 2012.</ref> kuna herufi 107 na alama za pekee 56.
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-lugha}}
[[Jamii:alfabeti]]
|