Mkataba wa Helgoland-Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 8:
Ujerumani ilifuta mipango yake katika [[Uganda]] na [[Zanzibar]].
 
Pia iliwaachia Waingereza [[Usultani ya Witu]] iliyokuwa tayari chini ya ulinzi wa Ujerumani tangu 1885 na madai yake kwenye pwani la Kenya katika eneo la [[funguvisiwa ya Lamu]] na pwani la [[Somalia]] hadi [[Kismayu]].
 
==Afrika ya Kusini-Magharibi==
Mstari 18:
==Ulaya==
Uingereza iliachia Ujerumani kisiwa cha [[Helgoland]] katika [[Bahari ya Kaskazini]]. Kisiwa hiki kiliwahi kuchukuliwa na Uingereza wakati wa vita dhidi ya [[Napoleon]] mwaka 1807 ikawa koloni ya Kiingereza. Kisiwa kilidaiwa na Ujerumani kwa sababu kihistoria ni sehemu ya jimbo la [[Frisia ya Kaskazini]] lililokuwa sehemu ya Ujerumani baada ya kuhamishwa mara kadhaa kati ya Ujerumani na [[Denmark]].
 
 
[[Category:Historia ya Afrika]]
[[Category:Zanzibar]]
[[Category:Ukoloni wa Ujerumani]]
[[Category:Ukoloni wa Uingereza]]
 
 
[[de:Helgoland-Sansibar-Vertrag]]
[[en:Heligoland-Zanzibar Treaty]]
[[nl:Zanzibarverdrag]]
[[ja:ヘルゴランド=ザンジバル条約]]
[[uk:Занзібарський договір]]