Grace Matata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Grace Matata''' ni [[mwanamuziki]] wa kike wa [[Tanzania]] anayeimba [[muziki]] wa bongo fleva .
Mwanadada huyu ambae pia anacharaza guitar, ana uwezo mkubwa sana wa kupangilia nyimbo zake (composer) kuanzia utunzi, melody atakayoimbia na hata melody ya bit.<ref>http://www.nafasiartspace.org/portfolio/grace-matata/</ref>. Alianza safari ya muziki mnamo mwaka 2010 aliposajiliwa katika kampuni ya Music Lab (M-lab)<ref>http://www.nafasiartspace.org/portfolio/grace-matata/</ref>
 
==Elimu==
alimaliza elimu yake ya secondari katika shule ya Tambaza na baadae akajiunga na chuo cha usamamizi wa fedha IFM.
 
==Nyimbo==
1; Hello<ref>https://mdundo.com/song/47835</ref>
2; Free Soul<ref>https://www.youtube.com/watch?v=RsmvEBwXFqI</ref>
3; Utanifaa<ref>https://www.youtube.com/watch?v=rVbLmonoMtQ</ref>
 
==Marejeo==
{{Mbegu-mtumwanamuziki}}
[[Jamii:Wanawake wa Tanzania]]
[[Jamii:Wiki Loves Women Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]