Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
d Masahihisho aliyefanya 41.223.119.38 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
||
Mstari 19:
}}
'''Vwawa''' ni [[jina]] la [[mji]] na [[makao makuu]] ya
[[Mji]] huo unapatikana [[Nyanda za Juu za Kusini]] [[mkoa]] mpya wa Songwe (zamani sehemu ya [[mkoa wa Mbeya]]) tena na ni makao makuu ya [[mkoa]] huo.
Mstari 31:
Mji huu umepitiwa pia na [[reli]] ya [[TAZARA]] kutokea jijini Dar es Salaam hadi [[Kapiri Mposhi]] nchini Zambia.
Mji huu una wenyeji ambao ni [[Wanyiha]], [[Wandali]] na [[Wanyamwanga]] na baadhi ya [[Wanyakyusa]] wapatikanao katika maeneo ya masoko na [[Ndolezi]] wilayani Mbozi, lakini pia ma[[kabila]] mengine ambayo si asili katika wilaya ya Mbozi.
Mji huu una [[mitaa]] yake ambayo ni: Old Vwawa, Ilolo, Mwenge, Ichenjezya, Ilembo, Frolida, Mbimba Itemba, Mtambwe, Jim road, Isangu, Ichenjezya, Mbugani na Vwawa day.
Mji huu umetoa [[wasomi]] wengi sana ambao ni [[chachu]] ya [[maendeleo]] kwa nchi ya Tanzania.
Mji huu umezungukwa na [[huduma]] mbalimbali za kijamii ikiwemo za [[serikali]] na watu binafsi kama vile [[shule]], [[hospitali]], [[nyumba]] za serikali, [[benki]] na huduma nyingine kama vile [[vituo vya mafuta]], [[Soko|masoko]], [[maji]] ya kutosha na [[umeme]].
Mji huu una [[ardhi]] nzuri ambayo si ya hali ya [[ukame]] na ambayo inaruhusu uwepo wa [[vyakula]] vya aina nyingi kwa vipindi vyote, yaani [[kiangazi]] na [[masika]].
[[Mlima Ng'amba]] na [[milima]] mingine ionekanayo kwa [[umbali]] ni kati ya vitu vioneshayo Vwawa kwa [[uzuri]] wa kipekee.
[[Kazi]] nzuri ifanywayo na [[jeshi]] la [[polisi]] pamoja na [[ukarimu]] pia [[ushirikiano]] wa watu wa Vwawa vimefanya Vwawa kuwa mji wenye [[utulivu]] muda wote.
Hata hivyo, mnamo mwaka [[2015]] jina la Vwawa liliingia katika vichwa vikuu vya habari nchini Tanzania baada ya kuhusishwa na [[harakati]] za kuufanya kuwa makao makuu ya mkoa mpya wa Songwe kabla ya kupitishwa kwake rasmi mnamo mwaka [[2016]].
Uwepo wa kampuni binafsi kama vile Ilasi, Unyiha, ADP na nyingine nyingi umesaidia sana sekta za [[elimu]], [[uchumi]], [[habari]] na masuala ya [[kilimo]].
Pia Vwawa inatoa fursa ya [[uwekezaji]] kwa [[wageni]] na wenyeji katika masuala mbalimbali. Wenyeji wa mji huu wa Vwawa wanawakaribisha sana wageni wa mikoa na wilaya nyingine ili kuwezesha mzunguko wa kibiashara na wa kijamii.
==Marejeo==
|